Mwenge wa Uhuru 2023 ulikimbizwa hadi Kwa Rais mstaafu wa awamu ya tano (5) Mhe.…
Habari za Kisiasa
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za Kisiasa
Mhe Mkuu wa Wilaya ya Mjini Rashid S. Msaraka akiukimbiza Mwenge wa Uhuru 2023 hadi usawa wa nyumba ya Mhe Fatma Said Ali.
Mhe Mkuu wa Wilaya ya Mjini Rashid S. Msaraka akiukimbiza Mwenge wa Uhuru 2023 hadi…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana Mustafa akimkabidhi Mwenge wa Uhuru 2023 Mhe Mkuu wa Wilaya ya Mjini Rashid S. Msaraka.
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana Mustafa akimkabidhi Mwenge wa Uhuru 2023…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila akimkadhi Mwenge wa Uhuru Mhe Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana Mustafa.
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila akimkadhi Mwenge wa Uhuru Mhe…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za Kisiasa
Mwenge wa Uhuru 2023 umewasili uwanja wa ndege wa Abeid A. Karume ukitokea Mkoani Dar Es Salaam.
Mwenge wa Uhuru 2023 umewasili uwanja wa ndege wa Abeid A. Karume ukitokea Mkoani Dar…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Viongozi na wananchi mbali mbali wakicheza ngoma ambazo zilikua zikitumbuizwa na wasanii mbali mbali katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2023.
Viongozi na wananchi mbali mbali wakicheza ngoma ambazo zilikua zikitumbuizwa na wasanii mbali mbali katika…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Viongozi mbali mbali wa Mkoa , Wilaya, viongozi vyama vya Siasa, wafanyakazi wa serikali na wananchi wa Mkoa wa Magharibi wakiwa katika eneo la mapokezi (ABEID A. KARUME) wakiusubiri Mwenge wa Uhuru ukitokea Mkoa wa Dar ES Salaam
Viongozi mbali mbali wa Mkoa , Wilaya, viongozi vyama vya Siasa, wafanyakazi wa serikali na…
-
BiasharaHabari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumiSoko
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi afungua soko la kisasa la samaki Malindi Zanzibar lililojengwa kwa mashirikiano kati ya SMZ na Serikali ya Japan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi afungua soko…
-
BiasharaHabari za kijamiiHabari za Kisiasa
Skuli mpya ya kisasa yafunguliwa ndani ya jimbo la Mpendae, skuli hiyo jina lake ni Salim Turkey Primary School Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameifungua na kusema Serikali yake itaendelea kujenga skuli za kisasa za msingi ili kuondoa msongamano wa wanafunzi madarasani ili Taifa lizalishe wataalamu wazalendo.
Skuli mpya ya kisasa yafunguliwa ndani ya jimbo la Mpendae, skuli hiyo jina lake ni…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo alifanya ziara katika Hospitali ya Mkoa wa Mjini katika eneo la Lumumba.
Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo alifanya ziara katika Hospitali…