Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi afungua soko…
Habari za uchumi
-
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo alifanya ziara katika Hospitali ya Mkoa wa Mjini katika eneo la Lumumba.
Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo alifanya ziara katika Hospitali…
-
Habari za kijamiiHabari za uchumi
Mkurugenzi Idara ya Mirathi Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Haji Mussa khatibu atowa wito kwa Wafanya Biashara wa soko la Darajani kuhusu swala zima la Zakka Ameeleza Zakka ni wajibu hivyo wanapaswa kufanya majukumu yao ya kutoa Zakka ili kuweza kuongeza ujira kwa Mwenyezi mungu
Mkurugezi Idara ya Mirathi Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Haji Mussa khatibu…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mjini Dkt. Said Haji Mrisho akifuatana na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Tehama kutoka Ikulu ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mjini Dkt. Said Haji Mrisho akifuatana na Mkuu wa Kitengo…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Kamisheni ya kukabiliana na Maafa Zanzibar yatowa mafunzo kwa Maafisa Mbali mbali wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mjini
Kamisheni ya kukabiliana na Maafa Zanzibar yatowa mafunzo kwa Maafisa Mbali mbali wa Ofisi ya…
-
Habari za kijamiiHabari za KisiasaHabari za uchumi
Uongozi wa Wilaya leo tulifanya ziara ndani ya Wilaya katika Maeneo tofauti ya Miradi ya Maendelea ikiwa ni miongoni mwa ziara zetu za kawaida.
Uongozi wa Wilaya leo tulifanya ziara ndani ya Wilaya katika Maeneo tofauti ya Miradi ya…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za uchumi
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya akiendelea na hatua zake za kusimamia Maagizo ya Serikali kwa kuwahamisha wajasiriamali ambao wanachoka mbao Amani na kuelekea Karakana ili kupisha Wakandarasi wa Mradi wa ukarabati wa Barabara za Mjini za KM 100,9 pamoja na Flyover 2 ya Amani na Mwanakwerekwe.
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya akiendelea na hatua zake za kusimamia Maagizo ya Serikali kwa kuwahamisha…
-
Habari za kijamiiHabari za uchumi
Wilaya ya Mjini ikiendelea na Mikakati yake ya kuhakikisha inaboresha mazingira ya wajasiriamali kwa maeneo tofauti ili kukuza uchumi, kuongeza kodi kwa kuvutia mazingira ya kupata vyanzio vipya vya kodi, kuongeza harakati za kijamii na ubunifu kwa wafanyabishara ili kukuza biashara zao.
Wilaya ya Mjini ikiendelea na Mikakati yake ya kuhakikisha inaboresha mazingira ya wajasiriamali kwa maeneo…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za uchumi
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya akitoa maelekezo kwa Wafanyabiashara wanaojishughulisha na uchongaji wa Mbao wa Amani.
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya akitoa maelekezo kwa Wafanyabiashara wanaojishughulisha na uchongaji wa Mbao wa Amani.…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za uchumi
Kamati ya Utalii ya Wilaya ya Mjini yaja na mikakati juu ya utunzaji wa Mazingira.
Kamati ya Utalii ya Wilaya ya Mjini yaja na mikakati juu ya utunzaji wa Mazingira…