Katibu Tawala Wilaya ya Mjini Dkt. Said Haji Mrisho akiwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya Miradi ya Maendeleo ndani ya Wilaya kwa Miradi ya Afya, Elimu na Majengo ya Wajasiriamali.
Miradi iko mizuri sana na ni miradi ya kimkakati. Hongera sana Dr. Hussein Ali Mwinyi kwa Kutimiza Miaka 2 ya Uongozi uliotukuka na kweli yajayo ni neema tu kwa vitendo.