Home Habari za kijamii Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya akitoa maelekezo kwa Wafanyabiashara wanaojishughulisha na uchongaji wa Mbao wa Amani.

Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya akitoa maelekezo kwa Wafanyabiashara wanaojishughulisha na uchongaji wa Mbao wa Amani.

by Ally Rutengwe

Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya akitoa maelekezo kwa Wafanyabiashara wanaojishughulisha na uchongaji wa Mbao wa Amani.

Maelekezo ambayo baada ya kukamilika kwa majengo ya wajasiriamali ya Karakana kuanza kuhamia na kupisha eneo la amani kwa ajili ya Wakandarasi wa Mradi wa ukarabati wa barabara urefu wa km 100.9 za Mjini pamoja na Flyover 2 zitakazojengwa Mjini na kampuni ya CCECC.

Magogo ya wachonga mbao pamoja na bidhaa zao zimeanza kuhamishwa.

 

related posts

Leave a Comment