Home Habari za kijamii Mkurugenzi Idara ya Mirathi Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Haji Mussa khatibu atowa wito kwa Wafanya Biashara wa soko la Darajani kuhusu swala zima la Zakka Ameeleza Zakka ni wajibu hivyo wanapaswa kufanya majukumu yao ya kutoa Zakka ili kuweza kuongeza ujira kwa Mwenyezi mungu

Mkurugenzi Idara ya Mirathi Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Haji Mussa khatibu atowa wito kwa Wafanya Biashara wa soko la Darajani kuhusu swala zima la Zakka Ameeleza Zakka ni wajibu hivyo wanapaswa kufanya majukumu yao ya kutoa Zakka ili kuweza kuongeza ujira kwa Mwenyezi mungu

by Ally Rutengwe

Mkurugezi Idara ya Mirathi Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Haji Mussa khatibu atowa wito kwa Wafanya Biashara wa soko la Darajani kuhusu swala zima la Zakka Ameeleza Zakka ni wajibu hivyo wanapaswa kufanya majukumu yao ya kutoa Zakka ili kuweza kuongeza ujira kwa Mwenyezi mungu

Ameyasema hayo katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mjini kikao hicho kimeongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mjini Dr Said Haji Mrisho.

Nae Makamo Mwenyekiti wa soko la Darajani kwa niaba ya wafanyabiashara wezake Suleiman Massoud Hamad Ameeleza kuwa watalifanyika kazi na kutekeleza suala zima la Zakka.

 

related posts

Leave a Comment