MKUU WA WILAYA MJINI ASHIRIKI MAHAFALI YA WANAFUNZI WA KIDATU CHA 6 SKULI YA SECONDARY HAMAMNI NA KUTOA VYETI
Mkuu wa wilaya ya mjini Rashid simai msarak ameshirik katika sherehe ya wanafunzi wa kidatu cha 6 katika ckuli ya secondary hamamn na ametoa vyeti vya kumalizia masomo kwa wanafunzi hao.