Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi akizindua jengo jipya la Skuli ya Sebleni Zanzibar katika kuadhimisha miaka 58 ya Sherehe za Mapinduzi.
Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizindua Jengo la madara sita (6) katika Skuli ya Maandalizi na Msingi Sebleni, ujenzi wa madarasa 6 ya kisasa ni wazo lililotokana na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi wakati akiwa Mbunge wa Jimbo la Kwahani.