Ally Rutengwe by omar18 May 30, 2021 Change your cover photo Upload Change your cover photoUpload Change your cover photo Ally Rutengwe This user account status is Approved About About Posts Posts Comments Comments Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akabidhi zawadi ya shilingi Milioni 30 na kombe kwa mshindi wa Mapinduzi Timu ya Mlandege Fc ya Zanzibar ,Mshindi wa pili Singida Big Stars kiasi cha Shilingi milioni 20. Michuano hiyo ilifanyika katika uwanja wa Amani Zanzibar. 3 months ago in: Habari za kijamii, Habari za kimataifa no comments Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi afungua soko la kisasa la samaki Malindi Zanzibar lililojengwa kwa mashirikiano kati ya SMZ na Serikali ya Japan. 3 months ago in: Biashara, Habari za kijamii, Habari za kimataifa, Habari za Kisiasa, Habari za uchumi, Soko no comments Skuli mpya ya kisasa yafunguliwa ndani ya jimbo la Mpendae, skuli hiyo jina lake ni Salim Turkey Primary School Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameifungua na kusema Serikali yake itaendelea kujenga skuli za kisasa za msingi ili kuondoa msongamano wa wanafunzi madarasani ili Taifa lizalishe wataalamu wazalendo. 3 months ago in: Biashara, Habari za kijamii, Habari za Kisiasa no comments Uzinduzi wa siku 16 kupinga Udhalilishaji na Ukatili wa Jinsia. Idriss Abdul wakil Tarehe 25/11/2022. 4 months ago in: Habari za kijamii, Habari za kimataifa no comments Mara tu baada ya Ziara ya Mheshimiwa Rais, miongoni wa maagizo aliotoa ni kuhakikisha wananchi wenye magarage yote katika eneo la Lumumba ambao tayari washapatiwa maeneo basi kuenda kuyaboresha zaidi na kuwapeleka wengine ambao hawakupata katika awamu ya Pili. 4 months ago in: Habari za kijamii no comments Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo alifanya ziara katika Hospitali ya Mkoa wa Mjini katika eneo la Lumumba. 4 months ago in: Habari za kijamii, Habari za kimataifa, Habari za Kisiasa, Habari za uchumi no comments Tumefarijika kwa kutembelea na kuzinduliwa Kampeni ya Nitunze katika Bustani ya Botanic ilioko Migombani na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mama Mariam Mwinyi. 5 months ago in: Habari za kijamii, Habari za kimataifa, Habari za Kisiasa no comments Mkurugenzi Idara ya Mirathi Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Haji Mussa khatibu atowa wito kwa Wafanya Biashara wa soko la Darajani kuhusu swala zima la Zakka Ameeleza Zakka ni wajibu hivyo wanapaswa kufanya majukumu yao ya kutoa Zakka ili kuweza kuongeza ujira kwa Mwenyezi mungu 5 months ago in: Habari za kijamii, Habari za uchumi no comments Wananchi wa Shehia ya Kwamtumwajeni wakimsikiliza Sheha wakati wa mkutano wa uhamasishaji wa chanjo ya Surua, polio na Matone ya Vitamin A. 5 months ago in: Habari za kijamii no comments Mhe Mkuu wa Wilaya ya Mjini Rashid Simai Msaraka Amepongeza Shirika la Startime kufanya mashindano ya Ligi la daraja la kwaza kwa Vijana wa Mchezo wa Mpira wa Miguu. 5 months ago in: Habari za kijamii no comments load more posts Share FacebookTwitterPinterestEmail