Home Habari za kijamii Uzinduzi wa Taasisi ya Zanzibar maisha bora foundation iliyofanyika katika uwanja wa Maozedong Zanzibar.

Uzinduzi wa Taasisi ya Zanzibar maisha bora foundation iliyofanyika katika uwanja wa Maozedong Zanzibar.

by Ally Rutengwe

Uzinduzi wa Taasisi ya Zanzibar maisha bora foundation iliyofanyika katika uwanja wa Maozedong Zanzibar. Mama Maryam Mke wa Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi ndio aliezindua Taasisi hio , kabla uzinduzi walianza mazoez ya kutembea kutoka Kiembe samaki kwa Butros hadi uwanja wa Maozedong ambapo uzinduzi huo ulifanyika. Vile vile Viongozi mbalimbali walishiriki katika uzinduzi huo akiwemo Katibu Mkuu Kiongozi Mhandis Zena, Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Mkuu wa Mkoa Mjini na Wananchi mbali kutoka Zanzibar na Tanzania Bara.

 

 

 

related posts

Leave a Comment