Home Habari za kijamii Wazazi /Walezi watakiwa kuwa karibu na watoto wao

Wazazi /Walezi watakiwa kuwa karibu na watoto wao

by Ally Rutengwe

Wazazi /Walezi watakiwa kuwa karibu na watoto wao kwa lengo la kuweza kuwasaidia zaidi katika kujifunza kusoma na kuwandika . Hassan Abbas Hassan Afisa Elimu Wilaya ya Mjini Ameyasema hayo mara baada ya kupokea Vitabu kwa wanafunzi wa maandalizi kwa msaada wa RTI katika Afisi ya Wilaya ya Mjini.

 

 

related posts

Leave a Comment