Afisa wa Afya DHMT pamoja na Mratibu wa Elimu ya Afya wilaya ya Mjini Riski Mohammed Suleiman wakizungumza na Wandishi wa Habari kuhusu suala zima la Utoaji wa Elimu wa Chanjo ya Polio,Surua,na Matone ya Vitamin A kwa watoto wenye chini ya Miaka mitano 5 ,Kikao hicho kimefanyika katika Afisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mjini Amani Unguja.