Home Habari za kijamii Baraza la Manispaa Mjini Unguja limemtunukia Cheti cha Shukrani,

Baraza la Manispaa Mjini Unguja limemtunukia Cheti cha Shukrani,

by Thania Suleiman

Baraza la Manispaa Mjini Unguja limemtunukia Cheti cha Shukrani, Sheha wa Shehia ya Matarumbeta Mhe. Sudi Rajab Sudi kwa kuchukua nafasi ya kwanza kuwa mshindi wa jumla wa mashindano ya usafi wa mazingira na afya 2022.

 

 

related posts

Leave a Comment