Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Nassor Ahmed Mazrui apokea vifaa vya afya vilivyotolewa na taasisi…
Habari za kijamii
-
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui amezitaka serikali za Wilaya kusimamia zoezi la ugawaji wa Vyandarua (usingizi bulbul) ili kufanikisha zoezi la ziro.
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui amezitaka serikali za Wilaya kusimamia zoezi la ugawaji…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Mjini Ndugu Faida khamis Ali amewahimiza masheha kutoa Elimu ya mara kwa mara kwa wananchi juu ya kujikinga na maradhi ya ugonjwa wa Malaria.
Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Mjini Ndugu Faida khamis Ali amewahimiza masheha kutoa Elimu…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifa
Ma afisa Wilaya ya Mjini wafanya ukaguzi vituo vya kufanyia mitihani ya MOKO.
Ma afisa Wilaya ya Mjini wafanya ukaguzi vituo vya kufanyia mitihani ya MOKO.
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Na hatimae Mwenge wa Uhuru 2023 ulikimbizwa hadi kiwanja cha makabidhiano maruhubi kupitia mlandege na hapa Mkuu wa Wilaya Mjini Unguja Rashid S. Msaraka amkabidhi Mwenge wa Uhuru Mhe Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A Bi Suzan P. Kunambi.
Na hatimae Mwenge wa Uhuru 2023 ulikimbizwa hadi kiwanja cha makabidhiano maruhubi kupitia mlandege na…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Mwenge wa Uhuru 2023 ulifika sokoni Darajani na Kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru alishiriki katika ukaguzi wa soko na usafi wa mazingira na kugawa vifaa vya usafi.
Mwenge wa Uhuru 2023 ulifika sokoni Darajani na Kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumiMatangazo
Mwenge wa Uhuru 2023 ulikimbizwa hadi kwenye kaburi la muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru na wenzake waliweka shada la maua kwenye kaburi la muasisi walidhuru walimuombea dua muasisi walikagua eneo aliouwawa na naibu katibu wa CCM Zanzibar aliongea maneno machache .
Mwenge wa Uhuru 2023 ulikimbizwa hadi kwenye kaburi la muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 pia alikagua shughuli za Upimaji wa Afya ya Jamii na Elimu ya Lishe katika uwanja wa Skuli ya Salum Turkey.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 pia alikagua shughuli za Upimaji wa Afya…
-
BiasharaHabari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Mwenge wa Uhuru 2023 ulifika katika Skuli ya Salum Turkey na kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru na kukabidhi Vyeti kwa Mabalozi wa kupambana na Rushwa na madawa ya Kulevya wa Shehia, pamoja na kukagua shughuli mbali mbali zinazofanywa na wadau wa Madawa ya Kulevya na Rushwa.
Mwenge wa Uhuru 2023 ulifika katika Skuli ya Salum Turkey na kiongozi wa mbio za…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Mwenge wa Uhuru 2023 ulikimbizwa hadi Ofisi ya Uhamiaji na kupokelewa na makamanda na wapiganaji wa Jeshi la Polisi, Chuo cha Mafunzo,Zimamoto na Uokozi,na Uhamiaji waliukimbiza hadi kituo cha sayansi HUB
Mwenge wa Uhuru 2023 ulikimbizwa hadi Ofisi ya Uhamiaji na kupokelewa na makamanda na wapiganaji…