Skuli mpya ya kisasa yafunguliwa ndani ya jimbo la Mpendae, skuli hiyo jina lake ni…
Habari za kijamii
-
BiasharaHabari za kijamiiHabari za Kisiasa
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifa
Uzinduzi wa siku 16 kupinga Udhalilishaji na Ukatili wa Jinsia. Idriss Abdul wakil Tarehe 25/11/2022.
Uzinduzi wa siku 16 kupinga Udhalilishaji na Ukatili wa Jinsia. Idriss Abdul wakil Tarehe 25/11/2022.…
-
Habari za kijamii
Mara tu baada ya Ziara ya Mheshimiwa Rais, miongoni wa maagizo aliotoa ni kuhakikisha wananchi wenye magarage yote katika eneo la Lumumba ambao tayari washapatiwa maeneo basi kuenda kuyaboresha zaidi na kuwapeleka wengine ambao hawakupata katika awamu ya Pili.
Mara tu baada ya Ziara ya Mheshimiwa Rais, miongoni wa maagizo aliotoa ni kuhakikisha wananchi…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo alifanya ziara katika Hospitali ya Mkoa wa Mjini katika eneo la Lumumba.
Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo alifanya ziara katika Hospitali…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za Kisiasa
Tumefarijika kwa kutembelea na kuzinduliwa Kampeni ya Nitunze katika Bustani ya Botanic ilioko Migombani na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mama Mariam Mwinyi.
Tumefarijika kwa kutembelea na kuzinduliwa Kampeni ya Nitunze katika Bustani ya Botanic ilioko Migombani na…
-
Habari za kijamiiHabari za uchumi
Mkurugenzi Idara ya Mirathi Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Haji Mussa khatibu atowa wito kwa Wafanya Biashara wa soko la Darajani kuhusu swala zima la Zakka Ameeleza Zakka ni wajibu hivyo wanapaswa kufanya majukumu yao ya kutoa Zakka ili kuweza kuongeza ujira kwa Mwenyezi mungu
Mkurugezi Idara ya Mirathi Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Haji Mussa khatibu…
-
Habari za kijamii
Wananchi wa Shehia ya Kwamtumwajeni wakimsikiliza Sheha wakati wa mkutano wa uhamasishaji wa chanjo ya Surua, polio na Matone ya Vitamin A.
Wananchi wa Shehia ya Kwamtumwajeni wakimsikiliza Sheha wakati wa mkutano wa uhamasishaji wa chanjo ya…
-
Habari za kijamii
Mhe Mkuu wa Wilaya ya Mjini Rashid Simai Msaraka Amepongeza Shirika la Startime kufanya mashindano ya Ligi la daraja la kwaza kwa Vijana wa Mchezo wa Mpira wa Miguu.
Mhe Mkuu wa Wilaya ya Mjini Rashid Simai Msaraka Amepongeza Shirika la Startime kufanya mashindano…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za Kisiasa
Mratibu wa Elimu ya Afya Riski Mohd Suleiman na Mwenyekiti wa Masheha Mhe Juma Juma wa Wilaya ya Mjini walifika katika Studio za Zbc Redio kufanya kipindi Maalumu cha Uhamasishaji wa kampeni ya chanjo
Mratibu wa Elimu ya Afya Riski Mohd Suleiman na Mwenyekiti wa Masheha Mhe Juma Juma…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za Kisiasa
Wilaya ya Mjini itaanza zoezi la utoaji Chanjo ya Polio, Surua na Matone ya Vitamin A
Wilaya ya Mjini itaanza zoezi la utoaji Chanjo ya Polio, Surua na Matone ya Vitamin…