ELIMU
Katika wilaya ya mjini, majukumu wanayoyoshughulika nayo Maafisa elimu katika skuli za Wilaya ya Mjini ni kama ifuatavyo
- Ufuatiliaji wa kila Skuli
- Kutatua migogoro inayotokea katika kila Skuli
- Uhamisho wa walimu na wanafunzi
- Takwimu za kila Skuli
- Michezo na utamaduni kwa kila Skuli
- Elimu Mbadala na Watu wazima
Wilaya ya Mjini imekunyasa idadi ya Skuli za Serikali zifuatazo
- Ina Skuli zenye Maandalizi 20
- Ina Skuli zenye Msingi 19
- Ina Skuli zenye Sekondari 20
Pia katika Wilaya ya Mjini zipo Skuli za Binafsi kama ifuatavyo
- Ina Skuli zenye Maandalizi 81
- Ina Skuli zenye Msingi 38
- Ina Skuli zenye Sekondari 12