Habari by omar18 May 19, 2021 Ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe.Dkt Suleiman Said Jafo,katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akizindua Jengo jipya la Hospitali ya maradhi ya akili Kidongo Chekundu Zanzibar. Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mjini akihudhuria uzinduzi wa Tawi jipya la Banki ya CRDB huko Michenzani Zanzibar. Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mjini akipokea ugeni wa Viongozi wa Chama cha Skauti kutoka Tanzania Bara. Share FacebookTwitterPinterestEmail