kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 na wenzake, viongozi mbali mbali Watumishi wa Serikali na Wananchi walishiriki katika zoezi la upandaji miti ya Mikoko kwa lengo la kuhifadhi mazingira ya bahari ili kupunguza mmong’onyoko wa Fukwe.