Katika kusherehekea siku wa Ustawi wa Jamii Duniani Makamu wa kwanza wa Rais Mh Othman Massoud Othman amewataka wazazi ,Idara husika pamoja na Jumuiya nyengine kuunganisha nguvu ili kupambana na wazalilishaji wa kijinsia Duniani katika viwanja vya Kariakoo Unguja .