Masheha wa wilaya ya Mjini wakipatiwa mafunzo ya Anwani ya makaazi (POSTAL CODE) katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Amani Zanzibar. Kwa ajili ya utambuzi wa Barabara na Mitaa katika shehia zao.