Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mjini akihudhuria uzinduzi wa Tawi jipya la Banki ya CRDB huko Michenzani Mall Zanzibar. Tawi hilo jipya limezinduliwa na Mhe. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi.