Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mjini akipokea ugeni wa Viongozi wa Chama cha Skauti kutoka Tanzania Bara huko bandarini Malindi Zanzibar, Viongozi hao wamemshukuru Mkuu wa Wilaya kwa mapokezi mazuri walio yapata baada kufika Zanzibar.