Home Biashara Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Mjini Komred Rashid Simai Msaraka akishirikiana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mjini Dkt. Said Haji Mrisho. Leo wameonana na Wawekezaji wa Mahotel ndani ya Mji Mkongwe katika hotel ya Serena Shangani Zanzibar.

Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Mjini Komred Rashid Simai Msaraka akishirikiana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mjini Dkt. Said Haji Mrisho. Leo wameonana na Wawekezaji wa Mahotel ndani ya Mji Mkongwe katika hotel ya Serena Shangani Zanzibar.

by Ally Rutengwe

Kikao hicho ni kuwashajihisha wawekezaji kuunga mkono Jihudi za Serikali ya Kuweka Anuani za Makaazi na Postikodi. Mkuu wa Wilaya ya Mjini Alichukua fursa hii kuwakumbusha fursa zitaka patikana pindi mfumo ukitumika Zanzibar. Vile vile aliwataka kuchangia ili zoeZi la awamu ya pili litekelezeke ambalo ni kutengeneza Majina ya Mitaa, nambari za Nyumba na Nguzo kwa ajili ya kuonesha njia au mtaa.

Muitikio ulikiwa mzuri sana na wamefurahishwa na huduma hii pindi itakapokamilika kabisa. Hii itawa rahisi kwa vile wananunua kutumia mitandano kama vile eBay., amazon, ali baba, nk.

Wawekezaji walitoa mapendekezo mazuri ambayo yatakayo fanyiwa kazi kwa uharaka kabisa. Mashirikiano yalikuwa mazuri ya ZATI, ZATO, HAZ.

related posts

Leave a Comment