Mkuu wa Wilaya ya Mjini akizungumza na ugeni kutoka Jiji la Dodoma, lengo la ugeni huo ni kuja kushirikiana katika kufanya kazi mbali mbali na kuleta mashirikiano mazuri kwa maendeleo ya Taifa letu.