MKUU WA WILAYA YA MJINI AKIPOKEA MSAADA WA MACHERA YA KUBEBEA MAITI KUTOKA KATIKA JUMUIYA YA JAI HAPO KATIKA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA.
Mkuu wa wilaya ndugu Rashid Simai Msaraka alipokea msaada huo katika hospital ya Mnazi Mmoja kutoka katika jumuiya ya JAI, Aidha Ndugu Rashid Simai Msaraka aliwashukuru jumuiya ya JAI kuwapatia msaada huo wa machera ya kubebea maiti kwasababu ilikua ni changamoto kubwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja na kuahidi kua watayatunza iliyaweze kuwasaidia hospitalini hapo.