MKUU WA WILAYA YA MJINI AKISHIRIKI KATIKA HAFLA YA KUAGA WALIMU NA MAAFISA WA ELIMU WA MKOA WA MBEYA.
Mkuu wa wilaya aliwaomba walimu wa Mbeya na Zanzibar kua na ushirikiano wa kielimu na kijamii katika majukumu yao. Maana ya kufanya ivo itajenga upendo wa kati yao na kuimarisha Muungano wetu. Vile vile walimu hao wa mbeya walimkabidhi Mkuu wa Wilaya zawadi na kumbadika jina la Chief kutokana na itikadi za watu wa Mbeya.