Home Biashara MKUU WA WILAYA YA MJINI AKIZUNGUMZA NA WATENDAJI WA NMB KUHUSU UFUMBUZI WA KUWAWEZESHA BARAZA LA VIJANA KUJIAJIRI WENYEWE

MKUU WA WILAYA YA MJINI AKIZUNGUMZA NA WATENDAJI WA NMB KUHUSU UFUMBUZI WA KUWAWEZESHA BARAZA LA VIJANA KUJIAJIRI WENYEWE

by omar18

mkuu wa wilaya ya mjini rashid simai msaraka akizungumza na wafanya kazi wa bank ya nmb.

lengo la kikao hicho ni kuona jinsi gani ya kuwapatia ufumbuzi baraza la vijana katika kuwasaidia masuala ya kujiajiri wenyewe

related posts

Leave a Comment