Home Habari za kijamii Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe. Rashid Simai Msaraka akiwapongeza Machapion wa Samia Taifa Cup.

Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe. Rashid Simai Msaraka akiwapongeza Machapion wa Samia Taifa Cup.

by Ally Rutengwe

Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe. Rashid Simai Msaraka akiwapongeza Machapion wa Samia Taifa Cup. Na kurudi na ushindi katika Wilaya ya Mjini, huko katika  Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Mjini Amani Zanzibar. Amewashukuru Vijana hao kwa bidii kubwa na kuonesha ujuzi wao kwa ushindi waliorudi nao na pia kuonekana katika Vilabu vikubwa vya Tanzania na kupata nafasi ya kusajiliwa kwa mchezaji katika Timu ya Young African.

related posts

Leave a Comment