Mwenge wa Uhuru 2023 ulikimbizwa hadi Kwa Rais mstaafu wa awamu ya tano (5) Mhe. Salmin Amour, kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 na wenzake, viongozi mbali mbali, watumishi wa Serikali, wapiganaji wa JWTZ walishiriki katika zoezi la upandaji miti ili kuhifadhi mazingira katika eneo hilo na kusalimiana na Mhe Rais Mstaafu wa awamu ya tano (5) nakutoa salamu za Mwenge wa Uhuru 2023.