Mwenge wa Uhuru 2023 ulifika katika Skuli ya Salum Turkey na kiongozi wa mbio za…
Skuli mpya ya kisasa yafunguliwa ndani ya jimbo la Mpendae, skuli hiyo jina lake ni Salim Turkey Primary School Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameifungua na kusema Serikali yake itaendelea kujenga skuli za kisasa za msingi ili kuondoa msongamano wa wanafunzi madarasani ili Taifa lizalishe wataalamu wazalendo.
Skuli mpya ya kisasa yafunguliwa ndani ya jimbo la Mpendae, skuli hiyo jina lake ni…