WATU WENYE ULEMAVU
Wilaya ya Mjini inashughulikia sekta ya watu wenye ulemavu kama ifuatavyo:
- Kusaidia kulinda na kutetea haki kwa maslahi ya sharia za watu wenye ulemavu pale zitakapo kiukwa katika Wilaya
- Kusaidia kuyafuatilia masuala mbali mbali yanayohusu watu wenye ulemavu ili kuona haki zao zinapatikana katika Wilaya
- Kusaidia kupanga na kuweka utaratibu mzuri wa kupata na kuandaa taarifa za watu wenye ulemavu katika Wilaya
- Kutoa taaluma ya masuala ya watu wenye ulemavu
- Kufanya tathmini na ufuatiliaji wa masuala ya watu wenye ulemavu