Home Habari za kijamii Sharma sharma za kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani ambayo kilele chake ni Tarehe 5/6 kila Mwaka.

Sharma sharma za kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani ambayo kilele chake ni Tarehe 5/6 kila Mwaka.

by

Sharma sharma za kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani ambayo kilele chake ni Tarehe 5/6 kila Mwaka. Afisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mjini wakishirikiana na Baraza la Manispaa Mjini iliamua kwa pamoja kufanya usafi na wananchi katika maeneo mbali mbali ya Wilaya ya Mjini Unguja.

 

related posts

Leave a Comment