Uongozi wa Wilaya leo tulifanya ziara ndani ya Wilaya katika Maeneo tofauti ya Miradi ya Maendelea ikiwa ni miongoni mwa ziara zetu za kawaida.
Ziara hio ni kuangalia hatua ya ujenzi na kuungalia utaraibu wa kuhamisha wafanyabiashara kuwapeleka katika maeneo ambayo ni ya muda ili kuupisha Mradi.