Ally Rutengwe by omar18 May 30, 2021 Change your cover photo Upload Change your cover photoUpload Change your cover photo Ally Rutengwe This user account status is Approved About About Posts Posts Comments Comments Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Nassor Ahmed Mazrui apokea vifaa vya afya vilivyotolewa na taasisi ya Muzdalifa 2 months ago in: Habari za kijamii, Habari za kimataifa, Habari za Kisiasa no comments Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui amezitaka serikali za Wilaya kusimamia zoezi la ugawaji wa Vyandarua (usingizi bulbul) ili kufanikisha zoezi la ziro. 2 months ago in: Habari za kijamii, Habari za kimataifa, Habari za Kisiasa, Habari za uchumi no comments Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Mjini Ndugu Faida khamis Ali amewahimiza masheha kutoa Elimu ya mara kwa mara kwa wananchi juu ya kujikinga na maradhi ya ugonjwa wa Malaria. 2 months ago in: Habari za kijamii, Habari za kimataifa, Habari za Kisiasa, Habari za uchumi no comments Ma afisa Wilaya ya Mjini wafanya ukaguzi vituo vya kufanyia mitihani ya MOKO. 2 months ago in: Habari za kijamii, Habari za kimataifa no comments Na hatimae Mwenge wa Uhuru 2023 ulikimbizwa hadi kiwanja cha makabidhiano maruhubi kupitia mlandege na hapa Mkuu wa Wilaya Mjini Unguja Rashid S. Msaraka amkabidhi Mwenge wa Uhuru Mhe Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A Bi Suzan P. Kunambi. 4 months ago in: Habari za kijamii, Habari za kimataifa, Habari za Kisiasa, Habari za uchumi no comments Mwenge wa Uhuru 2023 ulifika sokoni Darajani na Kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru alishiriki katika ukaguzi wa soko na usafi wa mazingira na kugawa vifaa vya usafi. 4 months ago in: Habari za kijamii, Habari za kimataifa, Habari za Kisiasa, Habari za uchumi no comments Mwenge wa Uhuru 2023 ulikimbizwa hadi kwenye kaburi la muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru na wenzake waliweka shada la maua kwenye kaburi la muasisi walidhuru walimuombea dua muasisi walikagua eneo aliouwawa na naibu katibu wa CCM Zanzibar aliongea maneno machache . 4 months ago in: Habari za kijamii, Habari za kimataifa, Habari za Kisiasa, Habari za uchumi, Matangazo no comments Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 pia alikagua shughuli za Upimaji wa Afya ya Jamii na Elimu ya Lishe katika uwanja wa Skuli ya Salum Turkey. 4 months ago in: Habari za kijamii, Habari za kimataifa, Habari za Kisiasa, Habari za uchumi no comments Mwenge wa Uhuru 2023 ulifika katika Skuli ya Salum Turkey na kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru na kukabidhi Vyeti kwa Mabalozi wa kupambana na Rushwa na madawa ya Kulevya wa Shehia, pamoja na kukagua shughuli mbali mbali zinazofanywa na wadau wa Madawa ya Kulevya na Rushwa. 4 months ago in: Biashara, Habari za kijamii, Habari za kimataifa, Habari za Kisiasa, Habari za uchumi no comments Mwenge wa Uhuru 2023 ulikimbizwa hadi Ofisi ya Uhamiaji na kupokelewa na makamanda na wapiganaji wa Jeshi la Polisi, Chuo cha Mafunzo,Zimamoto na Uokozi,na Uhamiaji waliukimbiza hadi kituo cha sayansi HUB 4 months ago in: Habari za kijamii, Habari za kimataifa, Habari za Kisiasa, Habari za uchumi no comments load more posts Share FacebookTwitterPinterestEmail