Wazazi /Walezi watakiwa kuwa karibu na watoto wao kwa lengo la kuweza kuwasaidia zaidi katika kujifunza kusoma na kuwandika . Hassan Abbas Hassan Afisa Elimu Wilaya ya Mjini Ameyasema hayo mara baada ya kupokea Vitabu kwa wanafunzi wa maandalizi kwa msaada wa RTI katika Afisi ya Wilaya ya Mjini.