Home Habari za kijamii Wizara ya Afya ikishirikiana na shirika la Afya Duniani WHO watoa mafunzo kwa wahamasishaji wa Shehia 56 za Wilaya ya Mjini .

Wizara ya Afya ikishirikiana na shirika la Afya Duniani WHO watoa mafunzo kwa wahamasishaji wa Shehia 56 za Wilaya ya Mjini .

by Ally Rutengwe

Wizara ya Afya ikishirikiana na shirika la Afya Duniani WHO watoa mafunzo kwa wahamasishaji wa Shehia 56 za Wilaya ya Mjini . Uhamasishaji huo umekuja kutokana na zoezi la utoaji wa chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5 itakayo anza tarehe 28/04 hadi 01/05/2022 zoezi hilo litapita nyumba kwa nyumba.

 

 

related posts

Leave a Comment