Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kupitia Idara ya Elimu Mbadala na Watu Wazima imefanya kikao katika Mkoa wa Mjini Magharib,Kikao cha kurudisha wanafunzi mashuleni watoto wote walioacha masomo kupitia mradi wa (OUT OF SCHOOL CHILDREN). Kilichofanyika katikaukumbi wa Dr. Ali Mohd Shein.