Mhe Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana Mustafa akimkabidhi Mwenge wa Uhuru 2023…
Habari za uchumi
-
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila akimkadhi Mwenge wa Uhuru Mhe Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana Mustafa.
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila akimkadhi Mwenge wa Uhuru Mhe…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Viongozi na wananchi mbali mbali wakicheza ngoma ambazo zilikua zikitumbuizwa na wasanii mbali mbali katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2023.
Viongozi na wananchi mbali mbali wakicheza ngoma ambazo zilikua zikitumbuizwa na wasanii mbali mbali katika…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Viongozi mbali mbali wa Mkoa , Wilaya, viongozi vyama vya Siasa, wafanyakazi wa serikali na wananchi wa Mkoa wa Magharibi wakiwa katika eneo la mapokezi (ABEID A. KARUME) wakiusubiri Mwenge wa Uhuru ukitokea Mkoa wa Dar ES Salaam
Viongozi mbali mbali wa Mkoa , Wilaya, viongozi vyama vya Siasa, wafanyakazi wa serikali na…
-
BiasharaHabari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumiSoko
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi afungua soko la kisasa la samaki Malindi Zanzibar lililojengwa kwa mashirikiano kati ya SMZ na Serikali ya Japan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi afungua soko…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo alifanya ziara katika Hospitali ya Mkoa wa Mjini katika eneo la Lumumba.
Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo alifanya ziara katika Hospitali…
-
Habari za kijamiiHabari za uchumi
Mkurugenzi Idara ya Mirathi Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Haji Mussa khatibu atowa wito kwa Wafanya Biashara wa soko la Darajani kuhusu swala zima la Zakka Ameeleza Zakka ni wajibu hivyo wanapaswa kufanya majukumu yao ya kutoa Zakka ili kuweza kuongeza ujira kwa Mwenyezi mungu
Mkurugezi Idara ya Mirathi Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Haji Mussa khatibu…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mjini Dkt. Said Haji Mrisho akifuatana na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Tehama kutoka Ikulu ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mjini Dkt. Said Haji Mrisho akifuatana na Mkuu wa Kitengo…
-
Habari za kijamiiHabari za kimataifaHabari za KisiasaHabari za uchumi
Kamisheni ya kukabiliana na Maafa Zanzibar yatowa mafunzo kwa Maafisa Mbali mbali wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mjini
Kamisheni ya kukabiliana na Maafa Zanzibar yatowa mafunzo kwa Maafisa Mbali mbali wa Ofisi ya…
-
Habari za kijamiiHabari za KisiasaHabari za uchumi
Uongozi wa Wilaya leo tulifanya ziara ndani ya Wilaya katika Maeneo tofauti ya Miradi ya Maendelea ikiwa ni miongoni mwa ziara zetu za kawaida.
Uongozi wa Wilaya leo tulifanya ziara ndani ya Wilaya katika Maeneo tofauti ya Miradi ya…