Mara tu baada ya Ziara ya Mheshimiwa Rais, miongoni wa maagizo aliotoa ni kuhakikisha wananchi wenye magarage yote katika eneo la Lumumba ambao tayari washapatiwa maeneo basi kuenda kuyaboresha zaidi na kuwapeleka wengine ambao hawakupata katika awamu ya Pili. Kazi hio hakuna kulala tumeenda katika eneo na kutoa maelekezo ya kuwapa fidia panapo stahiki. Kuwaweka magarage wanapostahiki n.k.