Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Nassor Ahmed Mazrui apokea vifaa vya afya vilivyotolewa na taasisi ya Muzdalifa na kusema vifaa hivyo visambazwe kwa walengwa kama ilivyokusudiwa.