Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui amezitaka serikali za Wilaya kusimamia zoezi la ugawaji wa Vyandarua (usingizi bulbul) ili kufanikisha zoezi la ziro.