Home Habari za kijamii MKUU WA WILAYA MJINI ASHIRIKI MAHAFALI YA WANAFUNZI WA KIDATU CHA 6 SKULI YA HAMAMNI

MKUU WA WILAYA MJINI ASHIRIKI MAHAFALI YA WANAFUNZI WA KIDATU CHA 6 SKULI YA HAMAMNI

by omar18

MKUU WA WILAYA MJINI ASHIRIKI MAHAFALI YA WANAFUNZI WA KIDATU CHA 6 SKULI YA SECONDARY HAMAMNI NA KUTOA VYETI

Mkuu wa wilaya ya mjini Rashid simai msarak ameshirik katika sherehe ya wanafunzi wa kidatu cha 6 katika ckuli ya secondary hamamn na ametoa vyeti vya kumalizia masomo kwa wanafunzi hao.

 

related posts

Leave a Comment