Kamisaa wa sensa ya watu na makazi Tanzania Zanzibar Mh Balozi Mohd Haji Hamza Aeleza na kutoa ufafanuzi majukumu mahsusi ya utekelezaji wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 kwa wajumbe wa kamati za sensa za mkoa na wilaya Mjini magharib A na B.