Home Habari za kijamii UZINDUZI WA MRADI WA UPANDAJI MITI MIGOMBANI 2021

UZINDUZI WA MRADI WA UPANDAJI MITI MIGOMBANI 2021

by omar18

UZINDUZI WA MRADI WA UPANDAJI MITI MIGOMBANI 202

Mkuu wa Wilaya ya Mjini Rashidi Simai Msaraka alizindua mradi wa upandaji wa miti akishirikiana na Wanafunzi wa skuli ya Migombani kwa ajili ya kuazimisha siku ya mazingira duniani.

 

 

 

 

related posts

Leave a Comment