Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akabidhi zawadi ya shilingi Milioni 30 na kombe kwa mshindi wa Mapinduzi Timu ya Mlandege Fc ya Zanzibar ,Mshindi wa pili Singida Big Stars kiasi cha Shilingi milioni 20. Michuano hiyo ilifanyika katika uwanja wa Amani Zanzibar.