Home Habari za kijamii Ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe.Dkt Suleiman Said Jafo,katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe.Dkt Suleiman Said Jafo,katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

by

Ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe.Dkt Suleiman Said Jafo,Akitembelea miradi mitatu ya Jimbo la Chumbuni Banco, Jimbo la Amani kwa wazee na Jimbo la Kwahani Skuli ya Sebleni katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Lengo la ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira,Mhe Dkt Selemani Said Jafo (Mb) ni kufanya ufuatiliaji wa shughuli za Muungano za kijamii na kiuchumi katika SMZ.

 

related posts

Leave a Comment