Home Habari za kijamii Baraza la Vijana Wilaya ya Mjini ikiongozwa na Mwenyekiti wake SALMIN MUSSA NAHODA  amefanya kikao cha kikanuni cha kamati Tendaji Wilaya kwa Mujibu wa sheria ya Baraza.

Baraza la Vijana Wilaya ya Mjini ikiongozwa na Mwenyekiti wake SALMIN MUSSA NAHODA  amefanya kikao cha kikanuni cha kamati Tendaji Wilaya kwa Mujibu wa sheria ya Baraza.

by Ally Rutengwe

Baraza la Vijana Wilaya ya Mjini ikiongozwa na Mwenyekiti wake SALMIN MUSSA NAHODA  amefanya kikao cha kikanuni cha kamati Tendaji Wilaya kwa Mujibu wa sheria ya Baraza.
Kikao hicho pia kimejadili maswala ya Miradi kwa Vijana na Kuzizungumzia fursa mbali mbali zinazotakana katika wilaya ya mjini na kuzichangamkia fursa hizo ili vijana wapate kunufaika.
Katika Kikao hicho pia Kimemualika Mlezi wa Baraza la Vijana Wilaya. Mkuu wa wilaya ya Mjini Mh: RASHID SIMAI MSARAKA.
Pia Mwenyekiti Wilaya SALMIN pia Alitumia Fursa ya Kumsifu na Kumtakia kheri na Afya njema Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mh HUSSEN ALI HASSAN MWINYI. na Kumsifu na Kumpongeza kwa Kazi Nzuri ya Uimarishaji wa nchi anayo ifanya kwa Wanannchi wake na vijana kwa ujumla.
Kikao Hicho kimefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Mjini.

 

related posts

Leave a Comment