Katibu Tawala Wilaya ya Mjini Dkt. Said H.Mrisho amekutana na Viongozi wa Baraza la Vijana Wilaya kujua changamoto zao na ikiwa pamoja na mipango kazi ya mwaka 2021-2022, katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mjini Amani Zanzibar.