Mkuu wa Wilaya ya Mjini, Mhe. Rashid S. Msaraka amewataka ZAWA kurekebisha haraka bomba za maji zilizopita katika mitaro ya maji machafu katika maeneo ya Mkele Shehia ya Mapinduzi Unguja.