Home Habari za kijamii Kongamano la kuzaliwa kwa CCM kutimiza miaka 45.

Kongamano la kuzaliwa kwa CCM kutimiza miaka 45.

by Ally Rutengwe

Ofisi ya CCM Wilaya ya Mjini Unguja, iliandaa Kongamano la kuzaliwa kwa CCM kutimiza miaka 45.  Katika Ukumbi wa Sebleni ambapo Viongozi na Wanachama mbalimbali wa CCM wamehudhuria na Mgeni Rasmi katika Kongamano hilo alikuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mhe. TALIB ALI TALIB.

related posts

Leave a Comment