Maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi Matukufu miaka 58 Amani Zanzibar.
Dkt Hussein Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akikagua gwaride la Vikosi tofauti katika maadhimisho ya Sherehe hizo miaka 58.